Nomino za wingi

Mifano
  • Maji yamejaza tangi
  • Mchanga wa pwani unafaa kuandalia karanga
  • Chumvi nyingi haifai kwa afya
  • Sukari nyingi haifai kwa afya

Nomino za wingi ni maneno yanayotaja majina ya vitu vinavyopatikana katika wingi tu, basi. Vitu hivyo haviwezi kutenganishwa katika kimojakimoja na kikatajwa kwa jina lake la pekee.

Mifano

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne